Hippotraginae

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hippotraginae
Palahala (Hippotragus niger)
Palahala
(Hippotragus niger)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mamalia (Wanyana wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Artiodactyla (Wanyama wenye vidole viwili au vinne mguuni)
Nusuoda: Ruminantia (Wanyama wanaocheua)
Familia: Bovidae (Wanyama walio na mnasaba na ng'ombe)
J. E. Gray, 1821
Nusufamilia: Hippotraginae (Wanyama wanaofanana na korongo)
Brooke, 1876
Ngazi za chini

Jenasi 3:

Addax Laurillard, 1841
Hippotragus Harris, 1838
Oryx de Blainville, 1816

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hippotraginae ni nusufamilia ndogo katika familia Bovidae. Spishi zake zinafanana na korongo. Nusufamilia hii ina jenasi tatu ndani yake:

Picha[hariri | hariri chanzo]

Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.