Seleukia
Mandhari
36°07′26″N 35°55′19″E / 36.12389°N 35.92194°E Seleukia (pia: Suedia; Seleukia Baharini; kwa Kigiriki: Σελεύκεια ἐν Πιερίᾳ) ulikuwa mji wenye bandari ya Antiokia, karibu na kijiji cha leo cha Çevlik[1], wilaya ya Hatay kusini-mashariki mwa Uturuki.
Seleukia Pieria ulianzishwa mwaka 330 KK hivi na Seleuko I Nikatori, mmoja kati ya waandamizi wa Aleksanda Mkuu.[2] Ndiyo asili ya jina[2].
Mtume Paulo na Barnaba walianza huko safari zao za kimisionari mwaka 45 hivi (Mdo 13:4). Baadaye Paulo alihitaji kupita huko mara mbili tena.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Seleucia in Pieria, Ancient Warfare Magazine". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-10-30. Iliwekwa mnamo 2020-05-09.
- ↑ 2.0 2.1 "Seleucia in Pieria". Retrieved on 2013-05-01. Archived from the original on 2013-10-30.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Seleukia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |