Nenda kwa yaliyomo

Mto Susumwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Susumwa unapatikana katika kaunti ya Kiambu, katikati ya Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Athi-Galana-Sabaki na hatimaye katika Bahari Hindi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

    Viungo vya nje

    [hariri | hariri chanzo]