Nenda kwa yaliyomo

Mto Mzima

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Mzima unapatikana katika kaunti ya Taita-Taveta, kusini mwa Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Galana na hatimaye katika Bahari Hindi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]