Mto Mwanyanymala
Mandhari
Mto Mwanyanymala unapatikana katika kaunti ya Taita-Taveta, kusini mwa Kenya.
Maji yake yanaishia katika mto Galana na hatimaye katika Bahari Hindi.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Mwanyanymala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |