Nenda kwa yaliyomo

Mto Maragua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mto Maragua (Embu))

Mto Maragua unapatikana katika kaunti ya Embu, katikati ya Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Tana ambao ndio mrefu kuliko yote nchini na unaishia katika Bahari ya Hindi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]