Nenda kwa yaliyomo

Mto Kiriria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Kiriria unapatikana katika kaunti ya Tharaka-Nithi, katikati ya Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Tana, ambao ndio mrefu kuliko yote nchini, na hatimaye katika Bahari Hindi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

    Viungo vya nje

    [hariri | hariri chanzo]