Nenda kwa yaliyomo

Mto Kapolet

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Kapolet unapatikana katika kaunti ya Trans-Nzoia, magharibi mwa Kenya (eneo la Bonde la Ufa la Afrika Mashariki).

Maji yake yanaishia katika mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

    Viungo vya nje

    [hariri | hariri chanzo]