Nenda kwa yaliyomo

Mto Gathagana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Gathagana unapatikana katika kaunti ya Nyeri, katikati ya Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Tana, ambao ndio mrefu kuliko yote nchini, na hatimaye katika Bahari Hindi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]