Nenda kwa yaliyomo

Mto Gachika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Gachika unapatikana katika kaunti ya Nyeri, katikati ya Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Tana, ambao ndio mrefu kuliko yote nchini, na hatimaye katika Bahari Hindi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]