Mutilene
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mitilene)
Mutilene (kwa Kigiriki: Μυτιλήνη, Mytilíni) ni mji wa Ugiriki, makao makuu ya kisiwa cha Lesbo katika Bahari ya Aegean chenye eneo la Km² 1,633.
Una wakazi 29,656 (2011) wanaotegemea zaidi uvuvi na utalii.
Mwaka 58 Mtume Paulo, katika safari yake ya tatu ya kimisionari, aliabiri kutoka huko hadi Samos akielekea Yerusalemu[1].
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Mdo 20:14 And when he met us at Assos, we took him on board and came to Mitylene. 15 We sailed from there, and the next day came opposite Chios. The following day we arrived at Samos and stayed at Trogyllium. The next day we came to Miletus. 16 For Paul had decided to sail past Ephesus, so that he would not have to spend time in Asia; for he was hurrying to be at Jerusalem, if possible, on the Day of Pentecost.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Official website
- Calendar of Lesvos Archived 19 Februari 2020 at the Wayback Machine.
- Tourist Guide of Mytilene-Lesvos
Makala hii kuhusu maeneo ya Ugiriki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mutilene kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |