Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano ya jamii:Translators without Borders

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tuanzishe sasa jamii kadiri ya wahariri? Mbona yeyote anaweza kubadilisha walichoandika? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:35, 5 Novemba 2014 (UTC)[jibu]

Naona sawa kwa kundi hili maana ni mradi na kuna kasoro mbalimbali zinazohitaji kuangaliwa baadaye hivyo jamii ni msaada. Tazama chini! Kipala (majadiliano) 09:04, 8 Aprili 2015 (UTC)[jibu]

Makala zilizotafsiriwa

[hariri chanzo]

Makala zifuatazo zimetafsiriwa na wafasiri wa mradi wa afya ambao wengine hawana uzoefu wa wikipedia na hivyo sehemu ya makala hazikuwekwa katika jamii bado wala kupewa viungo vya interwiki.

These articles have been created by translators some of whom have no wikipedia experience and thus part of these articles are not in categories nor have been joined to interlanguage links - thus some are not identifiable. In some cases the language needs attention. All should be joined to redirects showing the English names as well! To be checked!

No en:Article Kiswahili
# en:ADHD Tatizo la Kupepesuka lenye Ukosefu wa Umakinifu
# en:Anaphylaxis Mmenyuko wa mzio
# en:Asthma Ugonjwa wa mapafu
# en:Birth control DOUBLE! Udhibiti wa uzazi + Uzazi wa mpango
# en:Burn Inasemekana iko ??? Haionekani
# en:Circumcision (bado)
# en:Common cold Mafua ya kawaida
# en:COPD Ugonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofungana
# en:Croup Kifaduro
# en:Dengue fever Homa ya ndengi
# en:Diabetes mellitus type 2 Kisukari
# en:Down syndrome Inasemekana iko ??? Haionekani
# en:Epilepsy Inasemekana iko ??? Haionekani
# en:Gastroenteritis Gastroenteritis
# en:Gout Jongo
# en:Hemorrhoid Bawasiri
# en:Hepatitis C Homa ya manjano C
# en:HIV/AIDS Ukimwi
# en:Hypertension Shinikizo la juu la damu
# en:Hypothyroidism Inasemekana iko ??? Haionekani
# en:Low back pain Maumivu ya sehemu ya chini ya mgongo
# en:Lung cancer Saratani ya mapafu
# en:Meningitis Meningitis
# en:Migraine Kipandauso
# en:Multiple sclerosis Inasemekana iko ??? Haionekani
# en:Obesity DOUBLE! Kunona + Unene wa kupindukia
# en:Pneumonia Nimonia
# en:Schizophrenia Skizofrenia
# en:Streptococcal pharyngitis Uvimbe wa koromeo kistreptokokki
# en:Suicide Jiua
# en:Syphilis Kaswende
# en:Tuberculosis Kifua kikuu
# en:Urinary tract infection Inasemekana iko ??? Haionekani

Makala mengine katika jamii:translators without borders ambazo Si katika orodha husika

[hariri chanzo]

These articles are joined to the category "translators without borders" but are not in the reference table for tarnslations done at

https://docs.google.com/spreadsheets/d/1cb80jUe-tObwbTo-o4hh2IpcQHSv1TAJh-8vuniNsCs/edit?pli=1#gid=0

No Article Wiki
# en:Autism DOUBLE! autism +tawahudi
# en:Cholera Kipindupindu
# en:Ebola virus disease TRIPLE! Maradhi ya virusi vya ebola + Ebola + Ebola virus disease
# en:fever Homa
# en:fistula Nasuri
# en:Flood Mafuriko
# en:Landslide Miporomoko ya ardhi
# en:Malaria Malaria
# en:Tsunami Tsunami
Am not sure why these are linked? James Heilman, MD (talk · contribs · email)(please leave replies on my talk page) 11:47, 8 Aprili 2015 (UTC)[jibu]


Kwa kulinganisha: Makala zote za jamii:magonjwapamoja na jamii ndogo chini yake

[hariri chanzo]