Kutapika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mtu akitapika

Kutapika ni hali ya mtu au mnyama kutokwa kwa nguvu na vitu vilivyojikusanya tumboni kupitia mdomoni na wakati mwingine puani.

Mtu akihisi kutaka kutapika huitwa mtu huyo ana kichefuchefu.

Kuna sababu nyingi ambazo zINamfanya mtu atapike; miongoni mwa vitu hivyo kupewa sumu au kukumbwa na baadhi ya magonjwa au tumbo lake kuwa bovu na kutoweza kusaga chakula kilichoMo tumboni.

Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kutapika kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.