Baraza la mawaziri Tanzania 2015 : Tofauti kati ya masahihisho
majina ya mwisho |
+ongezeko dogo |
||
Mstari 8: | Mstari 8: | ||
{| class=wikitable |
{| class=wikitable |
||
! rowspan=2 | Chama |
! rowspan=2 | Chama anachotoka |
||
| style="background:#228B22" | |
| style="background:#228B22" | |
||
| [[Chama Cha Mapinduzi]] |
| [[Chama Cha Mapinduzi]] |
||
Mstari 146: | Mstari 146: | ||
==Tazama pia== |
==Tazama pia== |
||
[[Wizara za Serikali ya Tanzania]] |
[[Wizara za Serikali ya Tanzania]] |
||
[[Orodha_ya_Mawaziri_Wakuu_wa_Tanzania]] |
|||
[[Category:Siasa ya Tanzania]] |
[[Category:Siasa ya Tanzania]] |
Pitio la 07:47, 25 Desemba 2015
Baraza la Mawaziri la Tanzania ni ngazi ya juu ya serikali au mkono wa utendaji wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mfumo wa mgawanyo wa madaraka.
Baraza hili linafanywa na rais, makamu wa rais, rais wa Zanzibar, waziri mkuu na mawaziri wote. [1] Manaibu mawaziri si sehemu ya baraza. Mwanasheria Mkuu anashiriki katika mikutano ya baraza bila haki ya kupiga kura.
Mikutano ya baraza inaongozwa na Rais kama mwenyekiti, kama hayupo na Makamu wa Rais, na kama wote wawili hawapo na Waziri Mkuu.[2]
Serikali iliyopo ilitangazwa na John Magufuli, rais wa tano wa Tanzania baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2015 mnamo tarehe 10 Desemba 2015. Isipokuwa nafasi 4 zilichelewa kutajwa majina tarehe 23 Desemba, na hapo waliingia Jumanne Maghembe, Philip Mpango, Gerson Lwenge na Joyce Ndalichako. Siku hiyohiyo Makame Mbarawa alihamishwa kutoka Wizara ya Maji na Umwagiliaji na kwenda Wizara ya Ujenzi, uchukuzi na Mawasiliano.
Chama anachotoka | Chama Cha Mapinduzi |
---|
Marejeo
- ↑ "Cabinet of Tanzania". tanzania.go.tz. May 2012. Iliwekwa mnamo May 2012. Check date values in:
|date=, |accessdate=
(help) - ↑ Katiba ya Tanzania, fungu 54
- ↑ "Baraza la Mawaziri". Ikulu. 10 December 2015. Iliwekwa mnamo 11 December 2015. Check date values in:
|date=, |accessdate=
(help) - ↑ "Magufuli releases long awaited cabinet", 10 December 2015.
- ↑ Chama Cha Mapinduzi [@ccm_tanzania] (10 December 2015). "Rais Magufuli atangaza Baraza la Mawaziri" (Tweet) (kwa Swahili). Iliwekwa mnamo 10 December 2015 – kutoka Twitter. Check date values in:
|date=, |accessdate=
(help)
Tazama pia
Wizara za Serikali ya Tanzania Orodha_ya_Mawaziri_Wakuu_wa_Tanzania