Wadudu : Tofauti kati ya masahihisho
Maelezo ya picha |
dNo edit summary |
||
Mstari 5: | Mstari 5: | ||
| upana_wa_picha = 300px |
| upana_wa_picha = 300px |
||
| maelezo_ya_picha = Maumbile ya mdudu: A. Kichwa, B. Toraksi (kidari), C. Fumbatio, 1. Kipapasio, 2. Mandibula (taya), 3. Laboro (mdomo wa juu), 4. Palpi ya maxila, 5. Klipei, 6. Paji, 7. Verteksi (pia ya kichwa), 8. Pronoto, 9. Skutelo, 10. Elitra (mabawa ya mbele), 11. Pingili, 12. Spirakulo, 13. Mguu wa mbele, 14. Mguu wa kati, 15. Mguu wa nyuma. |
| maelezo_ya_picha = Maumbile ya mdudu: A. Kichwa, B. Toraksi (kidari), C. Fumbatio, 1. Kipapasio, 2. Mandibula (taya), 3. Laboro (mdomo wa juu), 4. Palpi ya maxila, 5. Klipei, 6. Paji, 7. Verteksi (pia ya kichwa), 8. Pronoto, 9. Skutelo, 10. Elitra (mabawa ya mbele), 11. Pingili, 12. Spirakulo, 13. Mguu wa mbele, 14. Mguu wa kati, 15. Mguu wa nyuma. |
||
| himaya = [[Animalia]] (Wanyama) |
| himaya = [[Animalia]] <small>(Wanyama)</small> |
||
| faila = [[Arthropoda]] (Wanyama wenye mwili wa pingili na miguu ya kuunga wasio na ugwe wa mgongo kama wadudu, nge, buibui) |
| faila = [[Arthropoda]] <small>(Wanyama wenye mwili wa pingili na miguu ya kuunga wasio na ugwe wa mgongo kama wadudu, nge, buibui)</small> |
||
| nusufaila = [[Hexapoda]] (Arithropodi wenye miguu sita) |
| nusufaila = [[Hexapoda]] <small>(Arithropodi wenye miguu sita)</small> |
||
| ngeli = [[Insecta]] (Wadudu) |
| ngeli = [[Insecta]] <small>(Wadudu)</small> |
||
| bingwa_wa_ngeli = [[Carolus Linnaeus|Linnaeus]], [[1758]] |
| bingwa_wa_ngeli = [[Carolus Linnaeus|Linnaeus]], [[1758]] |
||
| subdivision = '''Nusungeli na oda''': |
| subdivision = '''Nusungeli na oda''': |
Pitio la 22:25, 13 Novemba 2014
Wadudu | ||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Maumbile ya mdudu: A. Kichwa, B. Toraksi (kidari), C. Fumbatio, 1. Kipapasio, 2. Mandibula (taya), 3. Laboro (mdomo wa juu), 4. Palpi ya maxila, 5. Klipei, 6. Paji, 7. Verteksi (pia ya kichwa), 8. Pronoto, 9. Skutelo, 10. Elitra (mabawa ya mbele), 11. Pingili, 12. Spirakulo, 13. Mguu wa mbele, 14. Mguu wa kati, 15. Mguu wa nyuma.
| ||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||
| ||||||||
Ngazi za chini | ||||||||
Nusungeli na oda:
|
Wadudu wa kweli (tazama mdudu) ni kundi la arithropodi wadogo kiasi ambalo lina spishi nyingi duniani. Kibiolojia wako katika ngeli ya Insecta.
Wadudu wanashirikiana muundo wa kiwiliwili chenye pande tatu za kichwa mbele, kidari katikati na fumbatio nyuma, halafu jozi tatu za miguu na kwa kawaida jozi mbili za mabawa. Kwa nje kiwiliwili kinafunikwa kwa khitini yenye kazi ya kiunzi nje.
Hadi sasa wataalamu waliainisha zaidi ya spishi milioni moja za wadudu na makadirio ni labda kuna spishi nyingi zaidi labda hadi milioni 30.
Wadudu wanaishi takriban kila mahali duniani. Spishi nyingi zinapatikana katika sehemu za tropiki na idadi inapungua penye baridi. Lakini kuna hata spishi moja iliyopatikana Antaktika. Wadudu ni wachache sana baharini lakini hata hapa kuna spishi chache.
Uainishaji
Uainishaji wa wadudu umebadilika sana tangu utumiaji wa uchanganuzi wa ADN umeanza. Mfano wa uainisho wa hivi karibuni unafuata:
- Ngeli Insecta
- Nusungeli Monocondylia
- Oda Archaeognatha
- Kladi (kundi bila tabaka) Dicondylia
- Nusungeli Apterygota
- Oda †Monura
- Oda Thysanura (wadudu mikia-mitatu)
- Nusungeli Pterygota
- Ngeli ya chini Palaeoptera
- Oda Palaeodictyoptera – imekwisha sasa
- Oda Megasecoptera – imekwisha sasa
- Oda Archodonata – imekwisha sasa
- Oda Diaphanopterodea – imekwisha sasa
- Oda Meganisoptera – imekwisha sasa
- Oda Ephemeroptera (wadudu wa siku moja)
- Oda Odonata (Kereng'ende)
- Ngeli ya chini Neoptera
- Oda ya juu Exopterygota
- Oda Titanoptera – imekwisha sasa
- Oda Protorthoptera – imekwisha sasa
- Oda Plecoptera (wadudu mabawa-msuko)
- Oda Embioptera (wasokotaji-hariri)
- Oda Zoraptera
- Oda Dermaptera (wadudu-koleo)
- Oda Orthoptera (panzi, nzige n.k.)
- Oda Phasmatodea (wadudu-kijiti)
- Oda Notoptera
- Oda ya juu Dictyoptera (imependekezwa)
- Oda Blattodea (mende na mchwa)
- Oda Mantodea (vunjajungu)
- Oda ya juu Paraneoptera (imependekezwa)
- Oda Psocoptera (chawa-vitabu, nzi-gome)
- Oda Thysanoptera (tripsi)
- Oda Phthiraptera (chawa)
- Oda Hemiptera (vidukari, nzi weupe
- Oda ya juu Endopterygota
- Oda Hymenoptera (nyuki, nyigu, sisimizi n.k.)
- Oda Coleoptera (bungo)
- Oda Strepsiptera (wadudu mabawa-potwa)
- Oda Raphidioptera (wadudu shingo-ngamia)
- Oda Megaloptera (wadudu mabawa-makubwa)
- Oda Neuroptera (wadudu mabawa-vena)
- Oda ya juu Mecopteroidea (imependekezwa)
- Oda Mecoptera (wadudu-nge n.k.)
- Oda Siphonaptera (viroboto)
- Oda Protodiptera (nzi wa kale)
- Oda Diptera (nzi, mbu n.k.)
- Oda ya juu Amphiesmenoptera (imependekezwa)
- Oda Trichoptera (wadudu mabawa-manyoya)
- Oda Lepidoptera (vipepeo)
- Oda ya juu Exopterygota
- Ngeli ya chini Palaeoptera
- Nusungeli Apterygota
- Nusungeli Monocondylia
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wadudu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA