Notoptera
Mandhari
Notoptera | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mtambaaji-miamba (Mantophasma zephyra)
| ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Nusuoda 2 na familia 4:
|
Notoptera (notos = mgongo, ptera = mabawa) ni oda ndogo ya wadudu iliyo na spishi 55 zinazoishi hadi sasa. Spishi hizi zimeainishwa katika familia mbili: Grylloblattidae (wadudu-barafu) na Mantophasmatidae (watambaaji-miamba). Kuna familia mbili za spishi zilizoisha sasa.
Wadudu-barafu wanatokea Amerika ya Kaskazini na Asia ya Mashariki juu ya milima. Hutafuta arithropodi wadogo waliokufa kwa barafu.
Watambaaji-miamba wanatokea Afrika ya Kusini tu lakini spishi moja inatokea Tanzania. Hula wadudu wengine.
Jenasi za Afrika
[hariri | hariri chanzo]- Austrophasma
- Hemilobophasma
- Karoophasma
- Lobatophasma
- Mantophasma
- Namaquaphasma
- Pachyphasma
- Praedatophasma
- Sclerophasma
- Striatophasma
- Tanzaniophasma
- Tyrannophasma
- Viridiphasma
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Grylloblattidae (Galloisiana nipponensis)
-
Grylloblattidae (Grylloblatta campodeiformis)
-
Grylloblattidae (Grylloblatta oregonensis)
-
Mantophasmatidae (spishi iliyotambuliwa)
Makala hii kuhusu mdudu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Notoptera kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |