Mto Nairobi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 7 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1233042 (translate me)
Mstari 45: Mstari 45:
{{coord missing|Kenya}}
{{coord missing|Kenya}}


[[Jamii:Mito ya Kenya]]
[[Jamii:Mito ya Kenya|Nairobi]]
[[Jamii:Nairobi]]
[[Jamii:Nairobi]]
[[Jamii:Mto Athi-Galana-Sabaki]]
[[Jamii:Mto Athi-Galana-Sabaki]]

Pitio la 11:35, 27 Septemba 2013

Mto Nairobi ni mto unaopitia katika mji mkuu wa Kenya,Nairobi. Ndio mto mkuu katika Bakuli la mito la Nairobi , mtandao wa mito kadhaa inayopita sambamba kuelekea mashariki. Mito yote katika bakuli la mito ya Nairobi hukutana katika mashariki ya Nairobi na kuungana na Mto Athi, hatimaye kuelekea Bahari ya Hindi. Mmingi ya mito hii ni miembamba na chafu sana. Mkondo kuu, Mto Nairobi, umeweka mpaka wa kaskazini mwa jiji. Mto huu umefanywa kanali katika sehemu zingine.

Mto Nairobi una vijito kadhaa, kama vile (katika utaratibu wa kushuka kutoka kaskazini hadi kusini):

  • Mto Ruiru
  • Mto Kamiti
  • Rui Ruaka
  • Mto Karura
  • Mto Gitathuru (aka Getathuru)
  • Mto Mathare
  • Mto Nairobi (kanali kuu)
  • Kirichwa
  • Mto Motoine-Ngong

Mto Motoine unafululiza katika Dimbwi la Nairobi, ziwa lililofanywa na wanadamu kutoa maji ya kunywa kwa wakazi wa Nairobi. Mbele zaidi huendelea kama Mto Ngong.

Mito ya Nairobi huchafuliwa na uchafu kutoka kilimo, makazi duni na viwanda[1] Baadhi ya kingo za mito pia zinajulika kwa sifa mbaya ya ukosefu wa usalama. Mito hii hugawanya mji kutokana na ukosefu wa mapito yafaayo.

Wakati wa misimu ya mvua maji huongezeka, na kusababisha athari ya mafuriko katika mito yenye kingo zilizo chini.

Kuna mto wa pili uitwao Nairobi nchini Kenya. Huanza juu ya Mlima Kenya na ni kijito cha mito Sagana na Tana, mto mrefu zaidi nchini Kenya[2].

Ramani

Marejeo

  1. [0] ^ Biosafety News, Oktoba / Novemba 2002: Uchafuzi wa Mto Nairobi tisho kwa afya
  2. Rough Guide (2006). Rough Guide Map Kenya [map], 9 edition, 1:900,000, Rough Guide Map. Cartography by World Mapping Project. ISBN 1-84353-359-6.

Viungo vya nje