John F. Kennedy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka John Kennedy)
John F. Kennedy

John F. Kennedy mnamo Februari 1961

Makamu wa Rais Lyndon B. Johnson
mtangulizi Dwight D. Eisenhower
aliyemfuata Lyndon B. Johnson

tarehe ya kuzaliwa (1917-05-29)Mei 29, 1917
Brookline, Massachusetts, U.S.
tarehe ya kufa 22 Novemba 1963 (umri 46)
Dallas, Texas, U.S.
mahali pa kuzikiwa Arlington National Cemetery
chama Democratic
ndoa Jacqueline Bouvier (m. 1953–present) «start: (1953)»"Marriage: Jacqueline Bouvier to John F. Kennedy" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/John_F._Kennedy)
watoto Arabella Kennedy, Caroline Kennedy, John F. Kennedy Jr. na Patrick Bouvier Kennedy
mhitimu wa Harvard University
Fani yake Mwanasiasa
signature

John Fitzgerald Kennedy (29 Mei 191722 Novemba 1963) alikuwa Rais wa Marekani kuanzia mwaka 1961 hadi alipouawa.

Maisha

Alikuwa mtoto wa pili katika familia ya watoto 9. Baba yake alikuwa mfanyabiashara maarufu wa ukoo wenye asili ya Eire.

Vita Kuu ya Pili ilipoanza alijiunga na jeshi la wanamaji. Mwaka 1943 alijeruhiwa katika shambulio lililofanywa na ndege za kivita za Japani.

Mwaka wa 1957 Kennedy alituzwa Tuzo ya Pulitzer ya Wasifu kwa ajili ya wasifu ya wabunge wanane wa Senati ya Marekani; kitabu kiliitwa Profiles in Courage.

Mwaka 1947 alianza kujiingiza katika siasa na mwaka 1960 alichaguliwa kuwa Rais wa Marekani. Ni rais pekee muumini wa Kanisa Katoliki katika historia ya nchi hiyo.

Aliuawa kwa kupigwa risasi tarehe 22 Novemba 1963, akiacha mke na watoto wawili.

Atakumbukwa kwa kutetea haki za watu wote bila kujali rangi yao.

Kati ya mengine alisema "Wamarekani wasiulize Marekani imewatendea nini, bali wajiulize kwanza wao wenyewe wameitendea nini nchi yao".

Viungo vya nje

}}

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John F. Kennedy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.