Galana (mto)
Mandhari
Galana ni jina la mto Athi nchini Kenya kati ya maporomoko ya Lugards Falls unapoungana na mto Tsavo hadi kuishia katika Bahari Hindi karibu na mji wa Malindi.
Sehemu ya mwisho ya Galana inaitwa pia mto Sabaki.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Galana (mto) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |