Nenda kwa yaliyomo

South Dakota

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Dakota Kusini)
Sehemu ya Jimbo la South Dakota
South Dakota

Bendera

Nembo
Nchi Bendera ya Marekani Marekani
Mji mkuu Pierre
Eneo
 - Jumla 199,731 km²
 - Kavu 196,540 km² 
 - Maji 3,190 km² 
Tovuti:  http://www.sd.gov/

South Dakota (Dakota Kusini) ni jimbo la Marekani upande wa kaskazini kati ya nchi. Imepakana na North Dakota (Dakota Kaskazini), Minnesota, Iowa, Nebraska, Wyoming na Montana.

Jimbo lina wakazi wapatao 804,1974 (2008) wanaokalia eneo la kilomita za mraba zipatazo 199,905. Mji mkuu ni Pierre na mji mkubwa ni Sioux Falls.

Mlima Rushmore (kwa Kiingereza: Mount Rushmore) ni ukumbusho mashuhuri katika milima ya Black Hills kwenye jimbo la South Dakota kwa kuwa katika mwamba wake zimechongwa sanamu kubwa za marais wanne wa zamani wa Marekani.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Majimbo ya Marekani

Alabama Alaska Arizona Arkansas California Colorado Connecticut Delaware Florida Georgia Hawaii Idaho Illinois Indiana Iowa Kansas Kentucky Louisiana Maine Maryland Massachusetts Michigan Minnesota Mississippi Missouri Montana Nebraska Nevada New Hampshire New Jersey New Mexico New York North Carolina North Dakota Ohio Oklahoma Oregon Pennsylvania Rhode Island South Carolina South Dakota Tennessee Texas Utah Vermont Virginia Washington West Virginia Wisconsin Wyoming

Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu South Dakota kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.