9 Julai
Mandhari
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 9 Julai ni siku ya 190 ya mwaka (ya 191 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 175.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1249 - Kameyama, mfalme mkuu wa Japani (1259-1274)
- 1578 - Kaisari Ferdinand II wa Ujerumani
- 1654 - Reigen, Mfalme Mkuu wa Japani (1663-1687)
- 1887 - Samuel Eliot Morison, mwandishi na mwanahistoria kutoka Marekani
- 1926 - Ben Mottelson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1975
- 1956 - Tom Hanks, mwigizaji kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1572 - Watakatifu Wafiadini wa Gorkum nchini Uholanzi
- 1727 - Mtakatifu Veronika Giuliani, bikira mmonaki wa Waklara Wakapuchini nchini Italia
- 1850 - Zachary Taylor, Rais wa Marekani (1849-1850)
- 1900 - Mtakatifu Fransisko Fogolla, O.F.M., askofu Mkatoliki kutoka Italia na mfiadini nchini Uchina
- 1900 - Mtakatifu Amadina, bikira Mfransisko kutoka Ubelgiji na mfiadini nchini Uchina
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Augustino Zhao Rong na wenzake, Nikola Pieck na wenzake, Veronika Giuliani, Yohakimu He Kaizhi, Paulina Visintainer n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 9 Julai kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |