Mtolondo-kanga
Mandhari
(Elekezwa kutoka Amadina)
Mtolondo-kanga | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||
| ||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||
Jenasi 8, spishi 14:
|
Mitolondo-kanga ni ndege wadogo wa jenasi mbalimbali katika familia Estrildidae ambao wanatokea Afrika tu. Wanafana na mitolondo lakini ndege hawa wana madoa meupe mengi tumboni. Wana rangi mbalimbali kama nyekundu, machungwa, kijani, kahawia, kijivu na nyeusi. Hula mbegu hasa na beri na wadudu pia. Tago lao ni tufe la manyasi, nyuzinyuzi na vigoga lenye mwingilio kwa kando. Jike huyataga mayai 4-6.
Spishi
[hariri | hariri chanzo]- Amadina erythrocephala, Mtolondo-kanga Kichwa-chekundu (Red-headed Finch)
- Amadina fasciata, Tararita au Mtolondo-kanga Koo-damu (Cut-throat Finch)
- Clytospiza monteiri, Mtolondo-kanga Mgongo-kahawia (Brown Twinspot)
- Euschistospiza cinereovinacea, Mtolondo-kanga Mweusi (Dusky Twinspot)
- Euschistospiza dybowskii, Mtolondo-kanga Tumbo-jeusi (Dybowski's Twinspot)
- Hypargos margaritatus, Mtolondo-kanga Koo-pinki (Pink-throated Twinspot)
- Hypargos niveoguttatus, Mtolondo-kanga Koo-jekundu (Peters's or Red-throated Twinspot)
- Mandingoa nitidula, Mtolondo-kanga Mgongo-kijani (Green au Green-backed Twinspot)
Spishi za mabara mengine
[hariri | hariri chanzo]- Emblema pictum (Painted Finch au Firetail)
- Stagonopleura bella (Beautiful Firetail)
- Stagonopleura guttata (Diamond Firetail)
- Stagonopleura oculata (Red-eared Firetail)
- Taeniopygia bichenovii (Double-barred Finch)
- Taeniopygia guttata (Zebra Finch)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Mtolondo-kanga kichwa-chekundu
-
Tararita
-
Mtolondo-kanga mgongo-kahawia
-
Mtolondo-kanga mweusi
-
Mtolondo-kanga tumbo-jeusi
-
Mtolondo-kanga koo-jekundu
-
Mtolondo-kanga mgongo-kijani
-
Painted firetail
-
Beautiful firetail
-
Diamond firetail
-
Red-eared firetail
-
Double-barred finch
-
Zebra finch