Visiwa vya Turks na Caicos
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
|
|||||
| Wito la taifa: One people, one nation, one destiny | |||||
| Wimbo wa taifa: "God Save the Queen" | |||||
![]() |
|||||
| Mji mkuu | Cockburn Town |
||||
| Mji mkubwa nchini | |||||
| Lugha rasmi | Kiingereza | ||||
| Serikali | Eneo la ng'ambo la Uingereza Elizabeth II wa Uingereza Richard Tauwhare Michael Misick |
||||
| ' |
|||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
417 km² (ya 199) |
||||
| Idadi ya watu - 2006 kadirio - Msongamano wa watu |
32,000 (ya 156) 61/km² () |
||||
| Fedha | U.S. dollar (USD) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
UTC-5 (UTC) (UTC) |
||||
| Intaneti TLD | .tc | ||||
| Kodi ya simu | +1-649
- |
||||
Visiwa vya Turks na Caicos ni funguvisiwa katika Karibi ambazo ni maeneo ya ng'ambo ya Uingereza. Viko karibu na Bahamas. Uvuwi ni msingi wa uchumi.
Yaliyomo |
Visiwa vya Turks & Caicos [hariri]
Grand Turk [hariri]
Hiki ni kisiwa kikuu penye uwanja wa ndege na ofisi za serikali.
Providenciales [hariri]
Ni kisiwea cha utalii.
West Cay [hariri]
Kisiwa kidogo
| Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Visiwa vya Turks na Caicos kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |

