Waorthodoksi wa Mashariki
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Makanisa ya Kale ya Mashariki)
Waorthodoksi wa Mashariki ni jina linalotumika pengine kuhusu waamini wa Makanisa ya Mashariki ambayo katika karne ya 5 yalitengana na Wakatoliki na Waorthodoksi kwa kutokubali uamuzi wa mojawapo kati ya Mitaguso ya kiekumeni.
Makanisa hayo ni ya kitaifa, kama vile: