Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume

Majiranukta: 06°13′20″S 39°13′30″E / 6.22222°S 39.22500°E / -6.22222; 39.22500
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Uwanja wa ndege wa Zanzibar)
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume
IATA: ZNZICAO: HTZA
WMO: 63870
Muhtasari
Aina Matumizi ya Umma
Mmiliki Serikali ya Mapinduzi Zanzibar
Opareta Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar
Mahali Unguja, Zanzibar
Kitovu cha Zanair
Mwinuko 
Juu ya UB
54 ft / 16 m
Anwani ya kijiografia 06°13′20″S 39°13′30″E / 6.22222°S 39.22500°E / -6.22222; 39.22500
Ramani
ZNZ is located in Tanzania
ZNZ
ZNZ
Mahali ya uwanja nchini Tanzania
Njia ya kutua na kuruka ndege
Mwelekeo Urefu Aina ya
barabara
m ft
18/36 3,007 9 865 Lami
Takwimu (2005)
Idadi ya abiria 418,814
Harakati za ndege 14,302
Tani za mizigo 566

Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume (IATA: ZNZICAO: HTZA) ni kiwanja cha ndege cha Jamhuri ya Watu wa Zanzibar nchini Tanzania. Ilijulikana pia kama Uwanja wa ndege wa Kisauni na Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar.

Makampuni ya ndege na vifiko

[hariri | hariri chanzo]
Makampuni ya ndege Vifiko 
1Time Johannesburg
Air Uganda Entebbe, Juba, Nairobi
Bankair Arusha, Dar es Salaam, Pemba
Coastal Aviation Dar es Salaam
Condor Frankfurt
Ethiopian Airlines Addis Ababa
Fly540 Mombasa, Nairobi
Jetairfly Brussels, Mombasa
Kenya Airways Nairobi
Neos Milan-Malpensa
Precision Air Dar es Salaam, Mombasa, Nairobi
ZanAir Arusha, Dar es Salaam, Pemba

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu: