Nenda kwa yaliyomo

Tandala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tandala ni kundi la spishi mbili za jenasi Tragelaphus:

Spishi hizi mbili zinafanana sana, lakini tandala wakubwa ni wakubwa kuliko tandala wadogo. Dume la tandala mkubwa hufikia urefu wa zaidi ya m 1.5 kuanzia bega, na dume la tandala mdogo hufikia urefu wa takribani m 1.2. Madume ya spishi zote mbili wana pembe ndefu zinazoelekea juu, zikijikunja kama kizibuo.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tandala kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.