1 Septemba
Mandhari
(Elekezwa kutoka Septemba 1)
Ago - Septemba - Okt | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 1 Septemba ni siku ya 244 ya mwaka (ya 245 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 121.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1181 - Uchaguzi wa Papa Lucius III
- 1923 - Tetemeko la ardhi katika mji wa Kanto, Ujapani linaua watu 140,000
- 1939 - Vita Kuu ya Pili ya Dunia ilianza
- 1969 - Muammar al-Gaddafi anapindua serikali ya mfalme Idris I na kutangaza Jamhuri ya Kiarabu ya Libya
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1393 - Mtakatifu Yakobo wa Marka, padri wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Italia
- 1877 - Francis William Aston, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1922
- 1957 - Gloria Estefan
- 1965 - Craig McLachlan
- 1975 - Maritza Rodriguez, mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka Colombia
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1159 - Papa Adrian IV
- 1557 - Jacques Cartier, mpelelezi wa Amerika ya Kaskazini kutoka Ufaransa
- 1715 - Mfalme Louis XIV wa Ufaransa
- 1970 - Francois Mauriac, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1952
- 1988 - Luis Alvarez, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1968
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Yoshua, Sisti wa Reims, Prisko wa Capua, Terensiani wa Todi, Vinsenti wa Dax, Verena wa Zurzach, Vikta wa Le Mans, Kostanso wa Aquino, Egidi mkaapweke, Lupus wa Sens n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day
- On this day in Canada Archived 2012-12-08 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 1 Septemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |