Francis William Aston
Mandhari
Francis William Aston (1 Septemba 1877 – 20 Novemba 1945) alikuwa mwanakemia na mwanafizikia kutoka nchi ya Uingereza. Baadhi ya utafiti mwingine, alichunguza mionzi ya eksirei. Mwaka wa 1922 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Francis William Aston kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |