Orodha ya milima ya Balkani
Mandhari
Hii Orodha ya milima ya Balkani inataja baadhi yake tu.
- Ainos (m 1,628), Ugiriki
- Athos (m 2,033), Ugiriki
- Mlima Baba (Pelister, m 2,601), Jamhuri ya Masedonia Kaskazini
- Milima ya Balkani (Botev, m 2,376), Bulgaria, Serbia
- Belasica (Radomir, m 2,029), Jamhuri ya Masedonia Kaskazini, Bulgaria na Ugiriki
- Bistra (Medenica, m 2,163), Jamhuri ya Masedonia Kaskazini
- Celoica (Dobra Voda, m 2,062), Jamhuri ya Masedonia Kaskazini
- Čvrsnica (m 2,238), Dinaridi, Bosnia na Herzegovina
- Deshat (Velivar, m 2,375), Jamhuri ya Masedonia Kaskazini na Albania
- Dinara (Troglav, m 1,913; Dinara, m 1,831), Dinaridi, Kroatia - Bosnia na Herzegovina
- Galičica (Magaro, m 2,254), Jamhuri ya Masedonia Kaskazini na Albania
- Hymettus (m 1,026), mashariki kwa Athens, Ugiriki
- Jakupica (Solunska Glava, m 2,540), Jamhuri ya Masedonia Kaskazini
- Jablanica (Black Stone, m 2,257), Jamhuri ya Masedonia Kaskazini na Albania
- Kopaonik (Pančićev vrh, m 2,017), Serbia
- Kozuf (Zelenbeg, m 2,171), Jamhuri ya Masedonia Kaskazini na Ugiriki
- Mlima Korab (Golem Korab / Maja e Korabit, m 2,764), wa juu katika Jamhuri ya Masedonia Kaskazini na Albania
- Parnassus (m 2,460), Ugiriki
- Olympus (m 2,919), wa juu katika Ugiriki - makao ya miungu kadiri ya hadithi za Wagiriki
- Nidze (m 2,521), Jamhuri ya Masedonia Kaskazini na Ugiriki
- Orjen (m 1,894), wa juu katika Montenegro
- Osogovo (Ruen, m 2,251), Jamhuri ya Masedonia Kaskazini na Bulgaria
- Panakaiko (m 1,926), Peloponnese, mashariki kwa Patras, Ugiriki
- Pirin (Vihren, m 2,915), Bulgaria - wa tatu katika Balkani, baada ya Musala katika Bulgaria na Olympus katika Ugiriki
- Prokletije (m 2,694), Dinaridi, Albania, Montenegro
- Rodopi (Golyam Perelik, m 2,191), Bulgaria, Ugiriki
- Rila (Musala, m 2,925), wa juu katika Bulgaria na Balkani kwa jumla
- Sakar (Vishegrad, m 895), Bulgaria
- Stogovo (Golem Rid, m 2,278), Jamhuri ya Masedonia Kaskazini
- Mlima Sar (m 2,747), Serbia na Albania na Jamhuri ya Masedonia Kaskazini
- Smolikas (m 2,640), Ugiriki
- Vitosha (Cherni vrah, m 2,290) Bulgaria
- Zlatibor (Tornik, m 1,496; Čigota, m 1,422), Serbia
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Orodha ya milima ya Balkani kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |