Galičica

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima wa Galičica

Galičica ni mlima wa Balkani (Ulaya), kati ya nchi za Albania na Jamhuri ya Masedonia Kaskazini.

Urefu wake ni mita 2,254 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Galičica kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.