Golyam Perelik

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mlima Golyam Perelik

Golyam Perelik ni mlima mrefu kuliko milima yote ya Rodopi iliyoko Balkani (Ulaya), kati ya nchi za Ugiriki na hasa Bulgaria.

Urefu wake ni mita 2,191 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Europa Mapa.png Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Golyam Perelik kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.