Dinara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima Dinara

Dinara ni mlima wa Balkani (Ulaya), kati ya nchi za Korasia na Bosnia na Herzegovina.

Urefu wake ni mita 1,913 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Dinara kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.