Vitosha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima Vitosha

Vitosha ni milima ya Balkani (Ulaya), katika nchi ya Bulgaria.

Urefu wake ni mita 2,290 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Vitosha kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.