Mlima Sar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Milima ya Šar

Šar ni safu ya milima ya Balkani (Ulaya), kati ya nchi za Serbia, Albania na Jamhuri ya Masedonia Kaskazini.

Urefu wake ni mita 2,747 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Sar kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.