Mlima Baba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima wa Baba

Mlima Baba (pia: Pelister) ni mlima wa Balkani katika nchi ya Jamhuri ya Masedonia Kaskazini (Ulaya kusini mashariki).

Urefu wake ni mita 2,601 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Baba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.