Kopaonik

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima wa Kopaonik

Kopaonik ni mlima wa Balkani (Ulaya), katika nchi ya Serbia.

Urefu wake ni mita 2,017 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kopaonik kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.