Nenda kwa yaliyomo

Prokletije

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima Prokletije

Prokletije ni mlima wa Balkani (Ulaya), kati ya nchi za Albania na Montenegro.

Urefu wake ni mita 2,694 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Prokletije kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.