Mto Loolimo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mto Loolimo unapatikana kaskazini magharibi mwa Kenya, kuanzia mpakani mwa Uganda.

Maji yake yanaishia katika ziwa Turkana.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]