Nenda kwa yaliyomo

Mto Chesumwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Chesumwe unapatikana magharibi mwa Kenya, mpakani mwa Tanzania.

Maji yake yanaishia katika mto Naili, ulio mrefu kuliko yote duniani, na hatimaye katika Bahari ya Kati.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]