Nenda kwa yaliyomo

Moyo Mtakatifu wa Yesu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Moyo Mtakatifu)
Moyo wa Yesu katikati ya kioo cha rangi, São Paulo, Brazil.
Mfululizo wa kurasa juu ya Yesu
Yesu
Yesu Kristo na Ukristo

Umwilisho   Utoto wa Yesu   Ubatizo   Arusi ya Kana   Utume wa Yesu   Mifano ya Yesu   Miujiza ya Yesu   Kugeuka sura   Karamu ya mwisho   Msalaba wa Yesu   Maneno saba   Kifo cha Yesu   Ufufuko wa Yesu   Kupaa mbinguni   Ujio wa pili  Yesu na matabiri ya Agano la Kale   Injili   Majina ya Yesu katika Agano Jipya   Yesu kadiri ya historia   Tarehe za maisha ya Yesu   Kristolojia

Mazingira ya Yesu

Wayahudi   Kiaramu   Bikira Maria   Yosefu (mume wa Maria)   Familia takatifu   Ukoo wa Yesu   Ndugu wa Yesu   Yohane Mbatizaji

Mitazamo juu ya Yesu

Mitazamo katika Agano Jipya  · Mitazamo ya Kikristo   Mitazamo ya Kiyahudi   Mitazamo ya Kiislamu   Yesu katika sanaa

Moyo Mtakatifu wa Yesu ni ibada iliyoenea sana, hasa katika Kanisa Katoliki, ikielekea moyo wa Yesu Kristo hasa kama ishara ya upendo wake kwa binadamu[1]. Ibada hiyo inazingatia mateso ya kiroho na ya kimwili ambayo yamethibitisha upendo huo.

Sherehe yake huadhimishwa Ijumaa inayofuata Jumapili ya pili baada ya Pentekoste, kati ya tarehe 29 Mei na 2 Julai[2].

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jinsi ilivyo kwa sasa imetokana hasa na njozi ambazo mmonaki bikira wa Ufaransa Margareta Maria Alacoque alisema amezipata katika miaka 1673 - 1675,[3] Kabla yake katika Karne za Kati watakatifu mbalimbali walipata njozi za namna hiyo, hasa Gertrude Mkuu.

  1. "Opening for the Year of Priest on the 150th Anniversary of John Mary Vianney". vatican.va (kwa Kiingereza). Jun 19, 2009. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Desemba 24, 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Solemnity of the Sacred Heart of Jesus". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Agosti 29, 2018. Iliwekwa mnamo 2020-06-18. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Jean Ladame, Marguerite–Marie, La sainte de Paray, Éditions Resiac, 1994 ISBN 2-85268-118-8

Marejeo ya Kiswahili

[hariri | hariri chanzo]
  • Maurice Soseleje, Kalendari yetu – Maisha ya Watakatifu – Toleo la pili – ed. Benedictine Publications Ndanda Peramiho – Peramiho 1986 – ISBN 9976-63-112-X, uk. 50

Marejeo ya lugha nyingine

[hariri | hariri chanzo]
  • Chasle, Louis; Sister Mary of the Divine Heart, Droste zu Vischering, religious of the Good Shepherd, 1863–1899. Burns & Oates, London, 1906.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Moyo Mtakatifu wa Yesu kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.