Tofauti kati ya marekesbisho "Mlima"

Jump to navigation Jump to search
7 bytes added ,  miaka 6 iliyopita
(Tengua pitio 957732 lililoandikwa na 41.59.28.153 (Majadiliano))
[[Mabamba ya gandunia]] husukumana na kusababisha kukunja kwa sehemu fulani. Milima kama [[Himalaya]] katika [[Asia]], [[Alpi]] za [[Ulaya]] au [[Atlas]] ya [[Afrika ya Kaskazini]] ilitokea hivyo. Miendo ya [[gandunia]] husababisha pia kutokea kwa milima baharini inayoweza kutokea juu ya uso wa maji kama [[visiwa]]. Milima iliyotokea kutokana na kukunjwa mara nyingi huonekana kama safu ndefu ya milima.
 
Njia nyingine ya kutokea kwa milima ni [[volkeno]]. Hapa [[magma]] (mwamba moto ulioyeyuka) inapanda kutoka [[koti ya dunia]] inakuta njia kupitia nafasi katika ganda la dunia na kufika usoni kwa umbo la [[zaha (lava)]]. Hapa lavazaha inaganda kuwa [[mwamba]] imara. Kama akiba ya magma chini ya volkeno ni kubwa inaendelea kupanda juu na kutoka kwenye kasoko ya volkeno. Inapanda juu ya lavazaha iliyoganda tayari na kwa njia hii volkeno inazidi kukua.
 
Volkeno kubwa Afrika ni Kilimanjaro.

Urambazaji