Puncak Jaya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
kilele cha Puncak Jaya

Puncak Jaya (pia "Carstensz Pyramid") ni mlima mrefu kuliko yote ya Indonesia na ya kisiwa cha Guinea Mpya, ukiwa na kimo cha mita 4,884 juu ya usawa wa bahari. Baadhi wanauhesabu kuwa wa kwanza katika bara la Oceania.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.