John F. Kennedy : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Removing Link FA template (handled by wikidata) - The interwiki article is not featured
→‎Maisha: systematicaly wrong quote corss-wiki
Mstari 13: Mstari 13:
Atakumbukwa kwa kutetea [[haki]] za watu wote bila kujali rangi yao.
Atakumbukwa kwa kutetea [[haki]] za watu wote bila kujali rangi yao.


Kati ya mengine alisema "Ask not what you can do for your country; ask what your country can do for you." ("Wamarekani wasiulize Marekani imewatendea nini, bali wajiulize kwanza wao wenyewe wameitendea nini nchi yao".)
Kati ya mengine alisema "Wamarekani wasiulize Marekani imewatendea nini, bali wajiulize kwanza wao wenyewe wameitendea nini nchi yao".


== Viungo vya nje ==
== Viungo vya nje ==

Pitio la 18:37, 31 Januari 2016

John F. Kennedy

John Fitzgerald Kennedy (29 Mei 191722 Novemba 1963) alikuwa Rais wa Marekani kuanzia mwaka 1961 hadi alipouawa.

Maisha

Alikuwa mtoto wa pili katika familia ya watoto 9. Baba yake alikuwa mfanyabiashara maarufu wa ukoo wenye asili ya Kiirish.

Vita Kuu ya Pili ilipoanza alijiunga na jeshi la wanamaji. Mwaka 1943 alijeruhiwa katika shambulio lililofanywa na ndege za kivita za Japani.

Mwaka 1947 alianza kujiingiza katika siasa na mwaka 1960 alichaguliwa kuwa Rais wa Marekani. Ni rais pekee muumini wa Kanisa Katoliki katika historia ya nchi hiyo.

Aliuawa kwa kupigwa risasi tarehe 22 Novemba 1963, akiacha mke na watoto wawili.

Atakumbukwa kwa kutetea haki za watu wote bila kujali rangi yao.

Kati ya mengine alisema "Wamarekani wasiulize Marekani imewatendea nini, bali wajiulize kwanza wao wenyewe wameitendea nini nchi yao".

Viungo vya nje

}}

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John F. Kennedy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.