Biashara ya watumwa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:AfricanSlavesTransport.jpg|thumb|250px|Kusafirisha watumwa katika Afrika ya karne ya 19]]
[[Picha:Boulanger Gustave Clarence Rudolphe The Slave Market.jpg|thumb|250px|Soko la watumwa katika Roma ya Kale (picha ya [[karne ya 19]]).]][[Picha:AfricanSlavesTransport.jpg|thumb|250px|Kusafirisha watumwa katika [[Afrika]] ya [[karne ya 19]].]]
[[Picha:Boulanger Gustave Clarence Rudolphe The Slave Market.jpg|thumb|250px|Soko la watumwa katika Roma ya Kale (picha ya karne ya 19)]]


'''Biashara ya watumwa''' ni [[biashara]] inayohusu [[utumwa|watumwa]] yaani watu wasio huru wakitazamiwa kuwa mali ya wengine.
'''Biashara ya watumwa''' ni [[biashara]] inayohusu [[utumwa|watumwa]] yaani watu wasio huru wakitazamwa kuwa [[mali]] ya [[binadamu]] wengine.


==Historia==
Katika historia ilitokea mara nyingi. Uchumi wa [[Roma ya Kale]] ilitegemea watumwa waliokamatwa na kusafirishwa kati ya pande zote za mazingira ya [[Bahari Mediteranea]]. Milki za ma[[khalifa]] wa Uislamu ziliendelea kutegemea watumwa. Waosmani walichukua watoto wa kikristo kutoka nchi za [[Balkani]] na kuwapeleka kama watumwa katika sehemu za kusini za milki yao kama [[Misri]] walipofanya kazi za wanajeshi.
Katika [[historia]] ilitokea mara nyingi.


[[Uchumi]] wa [[Roma ya Kale]] ulitegemea watumwa waliokamatwa na kusafirishwa kutoka pande zote za [[mazingira]] ya [[Bahari Mediteranea]].
Mahitaji ya uchumi wa kimataifa tangu karne ya 15 yalisababisha kuongezeka kwa biashara ya watumwa hasa kutoka Afrika; mamilioni walikamatwa na watawala wa milki kwenye pwani za Afrika na kuuzwa kwa wafanyabiashara wazungu waliowapeleka [[Amerika]] walipohitajika kwa kazi kwenye mashamba makubwa ya [[miwa]] na [[pamba]].


Milki za ma[[khalifa]] wa [[Uislamu]] ziliendelea kutegemea watumwa. [[Waosmani]] walichukua watoto wa [[Ukristo|Kikristo]], hasa kutoka nchi za [[Balkani]], na kuwapeleka kama watumwa katika sehemu za kusini za milki yao kama [[Misri]] walipofanya kazi kama [[wanajeshi]]. Biashara ya Waarabu kuhusu watumwa ilidumu miaka 1,300, na kupeleka mamilioni ya Waafrika upande wa [[Asia]].
Biashara hii ilianza kupingwa tangu mwisho wa karne ya 18; [[Mkutano wa Vienna]] (1814-15) ilikuwa mapatano ya kwanza ya kimataifa yaliyolenga kukataa biashara ya watumwa kutoka Afrika.


Mahitaji ya uchumi wa kimataifa tangu [[karne ya 15]] yalisababisha kuongezeka kwa biashara ya watumwa hasa kutoka [[Afrika]]; mamilioni walikamatwa na watawala wa milki kwenye pwani za Afrika au [[Waarabu]] na kuuzwa kwa wafanyabiashara [[Wazungu]] waliowapeleka [[Amerika]] walipohitajika kwa kazi kwenye ma[[shamba]] makubwa ya [[miwa]] na [[pamba]].
Hata hivyo yaliendelea kwa miaka kadhaa hasa upande wa [[bahari Hindi]] ambako wanafayabiashara kama [[Tippu Tip]] waislamu waliendelea kukamata watumwa na kuwapeleka pwani.


Biashara hii ilianza kupingwa zaidi tangu mwisho wa [[karne ya 18]]; [[Mkutano wa Vienna]] ([[1814]]-[[1815]]) ulikuwa mapatano ya kwanza ya kimataifa yaliyolenga kukataza biashara ya watumwa kutoka Afrika.
Ukoloni ulimaliza biashara hii pia.


Hata hivyo iliendelea kwa miaka kadhaa hasa upande wa [[bahari Hindi]] ambako wanafayabiashara Waislamu kama [[Tippu Tip]] waliendelea kukamata watumwa na kuwapeleka pwani na [[Zanzibar]] kulikokuwa na [[soko la watumwa]] kubwa kuliko yote.
Tangu karne ya 20 utumwa na pia biashara ya watumwa zimepigwa marufuku katika mapatano ya kimataifa chini ya usimamizi wa [[Umoja wa Mataifa]].


[[Ukoloni]] ulimaliza kwa kiasi kikubwa biashara hiyo Afrika pia, ingawa [[Mauritania]] ilifanya [[utumwa]] kuwa [[kosa la jinai]] mwaka [[2007]] tu.
Lakini miaka za nyuma imeona biashara mpya inayotumia nafasi za usairi wa kisasa; hata kama hakuna utumwa kisheria tena duniani ni hasa wanawake na mabinti wanaouzwa kwa kazi haramu ya ukahaba kati ya nchi na nchi.


Tangu [[karne ya 20]] utumwa na pia biashara ya watumwa zimepigwa marufuku katika mapatano ya kimataifa chini ya usimamizi wa [[Umoja wa Mataifa]].

Lakini miaka ya hivi karibuni imeona biashara mpya inayotumia nafasi za usairi wa kisasa; hata kama duniani hakuna utumwa kisheria tena, ni hasa [[wanawake]] na mabinti wanaouzwa kwa [[kazi haramu]] ya [[ukahaba]] kati ya nchi na nchi.


[[Jamii:Utumwa]]
[[Jamii:Utumwa]]

Pitio la 13:07, 2 Septemba 2012

Soko la watumwa katika Roma ya Kale (picha ya karne ya 19).
Kusafirisha watumwa katika Afrika ya karne ya 19.

Biashara ya watumwa ni biashara inayohusu watumwa yaani watu wasio huru wakitazamwa kuwa mali ya binadamu wengine.

Historia

Katika historia ilitokea mara nyingi.

Uchumi wa Roma ya Kale ulitegemea watumwa waliokamatwa na kusafirishwa kutoka pande zote za mazingira ya Bahari Mediteranea.

Milki za makhalifa wa Uislamu ziliendelea kutegemea watumwa. Waosmani walichukua watoto wa Kikristo, hasa kutoka nchi za Balkani, na kuwapeleka kama watumwa katika sehemu za kusini za milki yao kama Misri walipofanya kazi kama wanajeshi. Biashara ya Waarabu kuhusu watumwa ilidumu miaka 1,300, na kupeleka mamilioni ya Waafrika upande wa Asia.

Mahitaji ya uchumi wa kimataifa tangu karne ya 15 yalisababisha kuongezeka kwa biashara ya watumwa hasa kutoka Afrika; mamilioni walikamatwa na watawala wa milki kwenye pwani za Afrika au Waarabu na kuuzwa kwa wafanyabiashara Wazungu waliowapeleka Amerika walipohitajika kwa kazi kwenye mashamba makubwa ya miwa na pamba.

Biashara hii ilianza kupingwa zaidi tangu mwisho wa karne ya 18; Mkutano wa Vienna (1814-1815) ulikuwa mapatano ya kwanza ya kimataifa yaliyolenga kukataza biashara ya watumwa kutoka Afrika.

Hata hivyo iliendelea kwa miaka kadhaa hasa upande wa bahari Hindi ambako wanafayabiashara Waislamu kama Tippu Tip waliendelea kukamata watumwa na kuwapeleka pwani na Zanzibar kulikokuwa na soko la watumwa kubwa kuliko yote.

Ukoloni ulimaliza kwa kiasi kikubwa biashara hiyo Afrika pia, ingawa Mauritania ilifanya utumwa kuwa kosa la jinai mwaka 2007 tu.

Tangu karne ya 20 utumwa na pia biashara ya watumwa zimepigwa marufuku katika mapatano ya kimataifa chini ya usimamizi wa Umoja wa Mataifa.

Lakini miaka ya hivi karibuni imeona biashara mpya inayotumia nafasi za usairi wa kisasa; hata kama duniani hakuna utumwa kisheria tena, ni hasa wanawake na mabinti wanaouzwa kwa kazi haramu ya ukahaba kati ya nchi na nchi.