Fransisko wa Paola : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2: Mstari 2:
'''Fransisko wa Paola''' (kwa [[Kiitalia]] ''Francesco da [[Paola]]''; [[27 Machi]] [[1416]] – [[2 Aprili]] [[1507]]) alikuwa [[mtawa]] nchini [[Italia]].
'''Fransisko wa Paola''' (kwa [[Kiitalia]] ''Francesco da [[Paola]]''; [[27 Machi]] [[1416]] – [[2 Aprili]] [[1507]]) alikuwa [[mtawa]] nchini [[Italia]].


Ametambuliwa na [[Kanisa Katoliki]] chini ya [[Papa Leo X]] kuwa [[mtakatifu]] kuanzia mwaka [[1519]].
Ametambuliwa na [[Kanisa Katoliki]] chini ya [[Papa Leo X]] kuwa [[mtakatifu]] kuanzia [[mwaka]] [[1519]].


Tarehe ya [[kif]]o chake, yaani [[2 Aprili]], pia ni [[sikukuu]] yake<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.
Tarehe ya [[kifo]] chake, yaani [[2 Aprili]], pia ni [[sikukuu]] yake<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.


== Maisha ==
== Maisha ==
Mstari 24: Mstari 24:
*[[Orodha ya Watakatifu wa Afrika]]
*[[Orodha ya Watakatifu wa Afrika]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]

==Tanbihi==
{{reflist}}


== Marejeo ==
== Marejeo ==
Mstari 33: Mstari 36:
*Herbert Thurston, ''The Physical Phenomena of Mysticism,'' pp.&nbsp;174–75
*Herbert Thurston, ''The Physical Phenomena of Mysticism,'' pp.&nbsp;174–75
* [http://www.saintpetersbasilica.org/Statues/Founders/FrancisdePaola/Francis%20de%20Paola.htm SaintPetersBasilica.org], Founder Statue in St Peter's Basilica
* [http://www.saintpetersbasilica.org/Statues/Founders/FrancisdePaola/Francis%20de%20Paola.htm SaintPetersBasilica.org], Founder Statue in St Peter's Basilica

{{mbegu-Mkristo}}
{{mbegu-Mkristo}}

[[Jamii:Waliozaliwa 1416]]
[[Jamii:Waliozaliwa 1416]]
[[Jamii:Waliofariki 1507]]
[[Jamii:Waliofariki 1507]]

Pitio la 14:23, 8 Januari 2021

Fransisko wa Paola (kwa Kiitalia Francesco da Paola; 27 Machi 14162 Aprili 1507) alikuwa mtawa nchini Italia.

Ametambuliwa na Kanisa Katoliki chini ya Papa Leo X kuwa mtakatifu kuanzia mwaka 1519.

Tarehe ya kifo chake, yaani 2 Aprili, pia ni sikukuu yake[1].

Maisha

Fransisko alizaliwa kwa muujiza katika mji wa Paola, mkoa wa Calabria, Italia, mwaka 1416. Wazazi wake walikuwa wamefikia uzee bila ya kuweza kuzaa, lakini walimuomba Fransisko wa Asizi na kuweka nadhiri kuwa mtoto wao ataitwa Fransisko. Ndipo walipojaliwa kuzaa.

Tangu utotoni alishika maisha magumu ya sala na toba upwekeni.

Alianzisha shirika la watawa wakaa-pweke, ambalo baadaye likawa Utawa wa Wadogo Kabisa, likapata kibali kutoka kwa Papa mwaka 1506. Pamoja na kuahidi mashauri ya Kiinjili matatu ya kawaida, wanaahidi pia kuishi daima kwa toba kama wakati wa Kwaresima.

Kanuni yake ni ya pekee, ingawa inafuata kwa jumla ile ya Ndugu Wadogo ikiiongezea malipizi makali ya mababu wa jangwani.

Kaulimbiu yake ilikuwa neno "caritas" (kwa Kilatini, "upendo").

Fransisko alikufa mwaka 1507 huko Tours, Ufaransa alipokuwa ametumwa na Papa.

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.