Waminimi
Mandhari
(Elekezwa kutoka Utawa wa Wadogo Kabisa)
Waminimi (kwa Kilatini Ordo Minimorum) ni watawa wa Kanisa Katoliki wanaomfuata mkaapweke Fransisko wa Paola kutoka Italia kusini.
Mwishoni mwa mwaka 2008 shirika lilikuwa na watawa 180, kati yao mapadri 112, katika konventi 45 ambazo ziko Ulaya (Uceki, Italia, Hispania, Ukraina) na Amerika (Brazil, Colombia, Mexico, Marekani).[1]
Waminimi maarufu wa Ufaransa
[hariri | hariri chanzo]- Marin Mersenne (1588–1648)
- Jean François Niceron (1613–1646)
- Charles Plumier (1646–1704)
- Louis Feuillée (1660–1732)
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-05. Iliwekwa mnamo 2011-05-24.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Catholic Encyclopedia: Minimi
- Minims of Saint Francis of Paola in the world Ilihifadhiwa 21 Julai 2011 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Waminimi kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |