Paola

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Paola ni mji wa wilaya ya Cosenza katika mkoa wa Calabria kusini mwa Italia.

Ni maarufu hasa kama mahali pa kuzaliwa pa mtakatifu Fransisko wa Paola.

Mandhari ya Paola

.

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Paola kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.