Marin Mersenne

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Marin mersenne
Marin Mersenne

Marin Mersenne, (Moder day sarthe, 8 Septemba 1588 - Paris, 1 Septemba 1648) alikuwa mtaalamu wa dini na sayansi wa huko Ufaransa.

Alianzisha sheria za kwanza za acoustics, ambayo ilikuwa inajulikana kwa jina lake kwa muda mrefu. Leo hukumbukwa kwa kiasi kikubwa kwa primes of Mersenne. Pamoja na Galileo Galilei alijenga sheria zinazoelezea jinsi kitu kinavyoweza kuanguka katika mahali pasipo na hewa yoyote, Mfano, nyoya na jiwe la mviringo la chuma huweza kuachiwa kutoka mahali pa juu na kutua kwa wakati mmoja ila mahali pasipo hewa.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marin Mersenne kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.