Nenda kwa yaliyomo

Lilavach

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lilavach ni kisiwa cha bahari ya Karibi karibu na Haiti.

Kisiwa kina eneo la kilometa mraba 52 na wakazi 15,000.

Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lilavach kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.