3 Julai
Mandhari
(Elekezwa kutoka Julai 3)
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 3 Julai ni siku ya 184 ya mwaka (ya 185 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 181.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1442 - Go-Tsuchimikado, mfalme mkuu wa Japani (1464-1500)
- 1876 - Ralph Barton Perry, mwandishi na mwanafalsafa kutoka Marekani
- 1883 - Franz Kafka, mwandishi wa Kijerumani kutoka milki ya Austria-Hungaria
- 1930 - Tommy Tedesco, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 683 - Mtakatifu Papa Leo II
- 1971 - Jim Morrison, mwanamuziki wa Marekani
- 2008 - Levy Mwanawasa, Rais wa tatu wa Zambia (2001-2008)
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu ya Mtume Thoma, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Anatoli wa Laodikea, Memno wa Viza, Marko na Musiani, Eliodori wa Altino, Anatoli wa Konstantinopoli, Papa Leo II, Raimundi Gayrard, Yosefu Nguyen Dinh Uyen, Filipo Phan Van Minh, Petro Zhao Mingzhen, Yohane Mbatizaji Zhao Mingxi n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 3 Julai kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |